Watoto watanzania ndiyo wenye afya nzuri zaidi ulimwenguni.

Taifa la Tanzania ndilo lenye watoto wenye afya nzuri ya maungo duniani, kulingana na utafiti uliofanywa na wanasayansi wa Australia. Viwango vya afya ya maungo ya watoto milioni 1.1 walio kati ya umri wa miaka tisa hadi 17 kutoka mataifa 50 vilifanyiwa ukaguzi. Watoto hao walifanyiwa zoezi la kukimbia umbali wa mita 20,ambalo hukagua afya…… Continue reading Watoto watanzania ndiyo wenye afya nzuri zaidi ulimwenguni.

Kuna ngoma za Godzilla Naweza kuzifanyia Remex – Bill Nass

Rapper wa Bongo Flava Billnass ambaye watu wengi wanahisi amechukua nafasi ya rapper Godzilla, amefunguka na kusema kuna baadhi ya ngoma za Godzilla anaweza kuzifanyia remix. “ Wimbo wa godzila ambao naweza kufanya remix rabda nyimbo mbili Nataka na Kingzilla, Nataka napenda sana ule mstari, Wakijifanya watoto wa mbwa sisi wenyewe mbona watoto wa paka”…… Continue reading Kuna ngoma za Godzilla Naweza kuzifanyia Remex – Bill Nass

Sababu za Young Killer kutoweka Video kwenye Youtube Chanel yake

Msanii wa hip hop Bongo  Young Killer ambae hivi karibuni amefanya Wimbo na Harmonize  ametoa sababu ya kutoweka Wimbo huo katika Youtube Chanel yake Rapper huyo kutoka Rocky City Mwanza ameeleza kuwa anamwaka wa tano katika kufanya kazi ya music na hajawahi kunufaika na youtube “ Kiukweri mimi kwenye music ninamwaka wa tano Napata mashabiki…… Continue reading Sababu za Young Killer kutoweka Video kwenye Youtube Chanel yake

Sri Lanka’s first heart transplant in Kandy Hospital

Sri Lanka’s first heart transplant surgery had been successfully performed at the Kandy General Hospital, the Health Ministry said today. “A heart of a 24 year-old donor was transplanted to a 34-year-old woman, whose heart was 12 percent nonoperational,” Director of the Kandy Hospital Dr. Saman Ratnayake said. He said two the kidneys of the…… Continue reading Sri Lanka’s first heart transplant in Kandy Hospital

Ulaji wa Pweza waongezeka kwa akinadada,40% kila siku wanakula

Baada ya wanaume kusifika kuwa ndio walaji wakubwa wa minofu ya samaki aina ya Pweza na supu yake, hali sasa imebadilika baada ya kinadada kuonekana pia wakichangamkia kwa wingi kitoweo hicho kinachotajwa kuwa na sifa za kipekee kwa mujibu wa watumiaji. Inaelezwa kwa wastani kupitia wauzaji waliozungumza na Nipashe imebainika kuwa kuna ongezeko la takribani…… Continue reading Ulaji wa Pweza waongezeka kwa akinadada,40% kila siku wanakula

Haya ndiyo Maamuzi mapya ya Waziri Mwigulu kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji Cc @mwigulunchemba1

Wakati mwaka 2016 ulipokaribia mwishoni kulitokea vurugu kati ya wakulima na wafugaji huko wiliyani Kilosa mkoani Morogoro, sababu ikatajwa kuwa wafugaji wanaoingiza mifugo yao kwenye mashamba ya wakulima kitu kilichosababisha wengi wao kukatwa mapanga na kuchomwa mikuki. Leo January 3, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amefika katika kijiji cha Tindiga kilichopo wilaya…… Continue reading Haya ndiyo Maamuzi mapya ya Waziri Mwigulu kuhusu mauaji ya wakulima na wafugaji Cc @mwigulunchemba1

Huu ndiyo ujumbe wa Krismas wa Rais @MagufuliJP kwa Watanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, amewataka Watanzania kufanya kazi kwa bidii kama ilivyokuwa kwa Yesu Kristo ambaye alikuwa chini ya malezi ya fundi seremala. Rais Magufuli ametoa rai hiyo leo (jana) katika Kanisa la Parokia ya Moyo Mtakatifu wa Yesu mjini Singida katika kuadhimisha Sikukuu ya Krismasi ambayo ni…… Continue reading Huu ndiyo ujumbe wa Krismas wa Rais @MagufuliJP kwa Watanzania

Dk. Alfred Mutua unveils Sh150mn tarmacked road in Machakos County

By @MGALLAHTz This is the second road constructed by the county government after the 33 Km long Makutano ma Mwala road which was tarmacked in a record three months in 2014.MACHAKOS, Kenya Dec 22 – Machakos Governor and Maendeleo Chap Chap leader Dr. Alfred Mutua on Thursday unveiled the fully tarmacked 15 km long Kathiani…… Continue reading Dk. Alfred Mutua unveils Sh150mn tarmacked road in Machakos County