#SINGIDA ; Mwanamke aliyemnyofoa kijana ulimi sasa kizimbani .

Mwanamke aliye daiwa kumng’ata ulim kijana Said Mnyambi 26 siku 28 zilizopita ,kwa kile kilichodaiwa kutaka kufanya nae mapenzi kwa nguvu hatimaye amefikishwa Katika Mahakama ya wilaya ya Singida.

Mwanamke huyo Mwajabu Jumanne ,36 mkazi wa eneo la  Mandewa nje kidogo ya mji wa Singida amefikishwa mbele ya Hakimu Flora NDALE ,Akishitakiwa kwa kosa la kujeruhi kwa kunyofoa Theluthi moja ya ulimi wa kijana Mnyambi wakati wakipeana Denda.

Wakili wa serikali ,Michael NG’HOBOKO alidai mbele ya Hakimu Ndale kuwa September 12 mwaka huu majira ya saa 2:45 usiku katika eneo la Mandewa manispaa  ya Singida ,kwa makusudi MAMA huyo alimng’ata ulimi Mnyambi n Kumsababishia jeraha na maumivu makali                                            .aliyengatwaulimi                                            Kijana Saidi Mnyambi akipatiwa matibabu mapema mwa mwezi uliopita.

mwendesha mashitaka huyo alidai kuwa mshitakiwa Mwajabu alitenda kosa hilo kinyume na kifungu namba 225 cha kanuni ya adhabu sura ya 16 sheria za nchi kama ilivyo fanyiwa marekebisho mwaka 2002.

Mshitakiwa alikana kosa na kesi hiyo imeahirishwa hadi Oktoba 24 itakapotajwa tena .Mshtakiayupo nje kwa dhamana ya watu wawili waliotoa ahdi ya Shilingi Milioni moja kila mmoja.

CHANZO:HABARILEO

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s