“@jmkikwete , @wizkidayo, #NEYO Ni watu walioibariki #Salome hata kabla ya kutoka”@diamondplatnumz

Hakuna mtu ambaye kwa sasa ukimwambia jina la salome atasita kufikiria wimbo wa mkali wa Bongo Fleva Nchini Diamond Platnumz aliomshirikisha Rayvanny,kwani wimbo huo umekuwa ukichezwa karibia kila kona ya jiji la Dar es salaam na karibia kila Radio na Tv  Nchini.kikwet Diamond Platnumz akiwa na Rais Mstaafu Dk. Jakaya Mrisho Kikwete

Stori kubwa ni kwamba sio Tanzania tu bali hata nchi za nje kama Rwanda,Uganda,Burundi,Nigeria nk.Kama ni mfuatiliaji wa mitandao ya kijamii umekuwa ukiona clip za video  za wasanii hao wakiweka mitandaoni mashabiki wao wakiimba na kucheza wimbo huo wa Salome.

Sasa majuzi DIAMOND kafunguka kupitia kituo pendwa cha TV hapa Tanzania cha EATV kupitia kipindi cha FNL na kusema alitegemea wimbo huo kufanya vizuri kwani ni wimbo uliohit sana akizungumzia OG ya wimbo uliofanywa na Saida Karoli.wiz                                              Diamond Platnumz akiwa na Wizkid

Na akaenda mbali zaidi na kusema aliwasikilizisha wasanii na watu mashuhuri akiwemo Rais mstaafu Dk  J.Kikwete  wakubwa kabla ya kutoa wimbo huo “Kabla ya wimbo huu kutoka Wizkid alikuwa Tanzania wakati nipo nae nilimpa ,aisee ulimvuruga sana,Nilipata bahati pia ya kuwa na Rais Mstaafu Jakaya  Kikwete naye aliupenda sana Hata baada ya kutoka wasanii wakubwa kama akina Tekno,Flavour walinitumia ujumbe mfupi kuonesha kuupenda .nakumbuka hata NEYO nae aliniambia “I love the song” “

Kwa habari zote kali kutoka Bongo na nje ya Tz nifute hapa na mimi nitakufuata pia Twitter na Instagram na kulike page yangu ya fb facebook

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s