PICHA:Jengo jipya la Makao Makuu ya Umoja wa Afrika AU limefunguliwa leo #Ethiopia Linaitwa Julius Nyerere.

Kansela wa Ujerumani  Bi Angela MERKEL leo amezindua jengo jipya la Makao Makuu ya Afrika {AU} Mjini Addis Ababa nchini Ethiopia ,Jengo ambalo limepewa jina la Rais wa kwanza wa Tanzania Hayati Mwl.Julius Nyerere .

Mpaka kufikia uamuzi wa jengo hilo kupewa jina hilo la “JUMBA LA AMANI NA USALAMA LA JULIUS NYERERE” Nikutokana na mchango mkubwa wa Mwl.NYERERE Katika kuhahakikisha mataifa mengi ya Afrika kuwa yanaishi kwa Amani,Upendo na mshikamano na pia yeye ni moja wa waanzilishi wa umoja huo.

Jengo hilo kubwa kabisa limejengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Ujerumani na litatumiwa kujadili masuala mbalimbali ya ulinzi na usalama wa Bara la  afrika.

Awali pendekezo la jina la jingo hilo lilipendekezwa kuitwa Mwl.Julius Nyerere na Rais wa Zimbabwe pamoja na Marais wa Malawi na Msumbiji.

Tazama picha za jengo hilo pamoja na zile za ufunguzi hapa chini.aaaaaaaauuup05-120131-337the-new-au-building-in-addis-ababa

Kwa Habari kemkem nifuate hapa Twitter na kulike page yangu ya Fb Facebook

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s