Picha:Majengo 10 Marefu zaidi Nchini Tanzania na Muonekano mpya wa Jiji la Dar es salaam

Baada ya ufunguzi wa jengo la TPA TOWER wiki mbili zilizopita kufunguliwa rasmi  sasa nimekuletea list ya Majengo marefu zaidi nchini Tanzania na yote kumi yapo Jijini Dar es salaam

1.PSPF COMMERCIAL TOWERS

pspf-towersMajengo haya pacha yana Urefu wa Mita 152.80 na jumla ya Floors 35 ,majengo haya yanashika nafasi ya 7 Kwa majengo marefu Afrika lakini pia nafasi ya Kwanza kwa Afrika ya Mashariki na Kati.

2.TPA TOWERtpaJengo hili ni jipya limefunguliwa siku chache zilizopita na Rais wa DRC Bw.KABILA lina urefu wa mita 134 na idadi ya floors 35.

3.RITA TOWERritaHilo Jengo unaloliona lenye mnara juu ndio Rita towers lina urefu au kimo cha mita 115 na floors 30.

4.UHURU HEIGHTSuhuru-heightJengo unaloliona hapo mbele refu ndiyo uhuru height lina urefu wa mita 103 na floors 30.

5.MILLENIUM TOWER{LAPF}millenUrefu wa jengo hili ni mita 103 na floors 30 .

6.UMOJA WA VIJANA TOWERS

Jengo hili ni la Tano kwa urefu Tz lina mita 102.5 na floors zipatazo 25vijana

7.PSPF GOLDEN JUBILEE HOUSEpspf-golden-jubilee

Jengo hili lina mita 92 na floors zipatazo 24 na kwa ukubwa huo linachukua nafasi ya 6 kwa majengo marefu Tanzania.

9.IT PLAZA

it-plaza

Lina mita 84 na floors 22.

10.VIVA TOWERSviJengo hili linakamilisha list ya majengo marefu TZ Likiwa na Mita 80 na floors 21 .Takwimu hizi kumbuka zinabadilika kila muda kutokana na majengo mengi yanayojengwa kila kukicha nchini Tanzania kwani Tayari kuna majengo mawili makubwa yanatazamiwa mwanzoni mwa mwaka ujao yatakuwa yamekamilika na ni marefu zaidi.

Sasa hapa chini nimekuletea picha za jiji la DAR ES SALAAM kwa nyakati tofauti tofauti kwa muonekano wa juu dar_es_salaam_before_duskdar-es-salaam-city-guide-viewdarrdarrrdarrrrdarrrrmsimudarpspf-golden-jubileeuhuru-heightHizo ni baadhi ya picha za jiji la Dar es salaam nifuate hapa Twitter na Instagram kisha like page yangu ya fb Facebook kupata habari mbalimbali za siasa ,michezo,Teknolojia na Burudani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s