Kama una viatu pea nyingi,au unakosa usingizi usiku basi ujue Ukichaa unakunyemelea..cc @janvierpopote

Ishu kubwa kwa sasa Tanzania ni ile Takwimu Ya kimataifa iliyowasilishwa na waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,watoto na Wazee Mh.Ummy Mwalimu iliyodai kuwa Kila kwenye watu wanne Duniani basi mmoja ni kichaa.Basi leo kupitia kipindi cha WEEKEND BREAKFAST Cha East Africa Radio walimualika mtaalamu wa masuala ya afya ya akili nae alianza kwa kueleza sababu za Kichaa kuwa ni Msafi sana,mchafu sana,kuwa na pea nyingi za viatu,kuongea sana,wivu,kusindikizwa chooni,kuongea peke yako na kuokota makopo. chupazamaji                                                                                          Muokota  makopo mkoani Morogoro picha kwa hisani ya Mtandao

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s