Donald Trump akiri hali si shwari Urais nchini Marekani.

Maofisa wa kampeni wa kambi ya mgombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican Bilionea Donald Trump ,wamekiri kuwa mgombea wao huyo yuko nyuma ya mpinzani wake wa chama cha Democratic Bi.Hillary  Clinton huku zikiwa zimesalia takribani wiki mbili kabla ya uchaguzi kufanyika.

“tuko nyuma kuna vitu vinavyomfanya yeye {hillary Clinton} kuwa mbele yetu mpaka sasa” alisema meneja wa kampeni wa Donald Trump.

hata hivyo aliongeza kwa kusema kuwa “Hatukati tamaa tunajua kwamba tunaweza kushinda “trumgMgombea wa Urais wa Marekani kupitia chama cha Republican Donald Trump

Kura za maoni kwenye majimbo mengi zinaonesha Bi Hillary yupo mbele ya Trump kitu ambacho kinatabiriwa kama Dalili za ushindi kwa FIRST LADY Huyo wa zamani wa Marekani.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s