Klabu ya Yanga SC yakataa maombi ya Kocha Hans Van Pluijm kujiuzulu na kumtaka aendelee…..

Ni wiki sasa inakaribia kuisha tangia klabu ya Yanga kuingia kwenye mtafaruku mkunbwa baada ya kocha wao Hans Van Pluijm kutangaza kujiuzulu.Sasa Good news ni kwamba leo klabu hiyo ya WAKIMATAIFA Imekataa ombi hilo na kumtaka Kocha huyo aendelee kuinoa klabu hiyo yenye makao yake makuu mtaa wa Jangwani Kariakoo,Jijini Dar es salaam.baruBarua ya YANGA kukataa kujiuzulu kwa kocha Pluijm na katikati ni Wazir wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba na Kulia ni Kocha Pluijm.

Mwigulu Nchemba amehusika kutatua mgogoro huo kama mwanachama wa klabu ya Yanga .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s