Mahari ya Sukari Yawaozesha Wanafunzi wa Darasa la Tano na Sita.

Idadi kubwa ya wanafunzi wa Darasa la tano na sita wilayani Siha wanaochumbiwa na wengine kuolewa ,huku wazazi wao wakichukua kiasi kidogo cha mahari kama sukari ili kuwaficha watuhumiwa.

Hadi kufikia sas wasichana 15 wameondolewa kwa wanaume baada ya kuozwa kwa mtindo huo na wengine 16 wamekatisha masomo yao katika shule za msingi na sekondari kutokana na kupata ujauzito.

Takwimu hiyo imetolewa na mkuu wa wilaya ya Siha Bw.Onesmo Buswelu wakati akizungumza kwenye mahafali ya 8 ya shule ya mchepuo wa kiingereza ya Punchini inayolea watoto wanaotoka familia masikini na wajane katika kata ya Karansi.

“Natangaza kiama kwa wazazi na mafataki wasiocheka na wake zao ,lakini pia vijana wanaochumbia na kuoa wanafunzi mpaka wa Darasa la Tano na sita tabia hii ikome”

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s