Arsenal, Dortmund, bayern, PSG na Atletico Zatinga hatua ya 16 Bora Klabu bingwa ulaya.

Klabu ya Borussia Dortmund ya Nchini Ujerumani  usiku wa jana ilijihakikishia nafasi yake mapema ya kufuzu hatua ya 16 Bora ya michuano ya Klabu Bingwa Barani Ulaya maarufu kama (UEFA CHAMPIONS LEAGUE) Kwa kuwachabanga Sporting CP ya Ureno goli moja kwa Nunge.Goli hilo lilifungwa na Andrew Ramos kunako dakika ya 12 ya kipindi cha kwanza na kwa matokeo hayo sasa Dortmund wanaongoza kundi F wakiwa na Point 10 wakifuatiwa na Real Madrid ya Uhispania.

Dortmund sasa inakuwa ni moja ya klabu za kwanza kufuzu mapema kuingia kwenye hatua ya 16 Bora ikiungana na Klabu za Arsenal kutoka Uingereza,Bayern Munich ya Ujerumani,Paris Saint Germain(PSG) ya Ufaransa na Atletico Madrid ya Uhispania.

  SOURCE:DIZZIMONLINE.COM

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s