Mama wema alia na marafiki wa mwanae adai wanamtafutia hadi wanaume

 Baada ya habari nyingi kuhusu uhusiano wa Wema na marafiki zake wa karibu  kuonekana kuyumba kwa wiki sasa , Leo kwenye kipindi cha Double xxl cha Clouds FM kenye segment ya You Heard? inayoongozwa na Soudy Brown ilisikika sauti ya mama Wema akiwalaumu marafiki wa wema kuwa ni watu wakubwa kiumri yaani ni wa mama hivyo waachane na mwanae kwani mwanae kila akiambiwa jambo huwa analipeleka moja kwa moja kwake na alienda mbali zaidi mpaka kudai ya kwamba marafiki zake sio watu wazuri kwani humuuza wema kwa wanaume.

wema                                                                 Wema sepetu na Rafiki yake  Muna  Love

 

“Yaani nimeelemewa na kila kitu yaani kwa wema hatafika popote kuna yule Junaitha na nafikiri kuna msichana yupo wale ni wachonganishi wale akina mama ni watu wazima naomba nyinyi ambao mpo kwenye mitandao naomba wakemeeni wambie wale akina mama ni nduli kwa sababu pia wao wanamtumia wema kumuuza,kwa wanaume….umenielewa? wakimkosa wanaanza kutunga mambo ambayo sio………wema ndivyo alivyo anaweza kuambiwa fulani anataka kuja kukuchoma na kisu anayabeba kama yalivyo watu wanamchonganisha kwa yaani sasa hivi wametumia mbinu ili aweze kuwa mbali na Muna Love lakini mimi nasema ipo siku ata realise…… yaani akiambiwa sasa hivi mama yako anakuloga anaweza kuja mbio akanifanyia mimi ambushi ya kitu chochote” ilisikika sauti ya Mama Wema.

Hata hivyo wema amekataa tuhuma hizo za kuwa na utofauti kati yake na Muna love pamoja na marafiki zake wengine wa karibu sikiliza sauti ya Wema sepetu na Mama yake wakiongea na Soudy Brown hapa chini.

Chanzo:Dizzimonline.com

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s