Yaya Toure amuomba msamaha Pep Guardiola na uongozi wa Man City

Ni miezi kadhaa sasa tangia sintofahamu ya mchezaji wa manchester City kutokuchezeshwa kikosi cha kwanza baada ya kocha Guardiola kutokumjumuisha kwenye kikosi cha kilichoenda kwenye mechi za klabu bingwa mwanzoni mwa mwezi uliopita kitendo ambacho kiliibua maneno mengi kati ya kocha  Man City Pep Guardiola na Wakala wa Yaya Toure, Dimitri Seluk  sasa leo Yaya toure ameandika barua ikiomba kuweka kando tofauti zao na kuendeleza mazuri ya klabu ya Manchester city.

Unaweza ukasoma barua hiyo HAPA ,Barua hiyo amedai kuwa ameshauriwa na Wakala wake kufanya hivyo baada ya kushauriana kwa pamoja baada ya kuona hakuna umuhimu wa kutunishiana misuli na kocha huyo mhispania ambae mwanzoni mwa mwezi uliopita baada ya kujibizana vibaya na wakala wa Yaya Toure,Guardiola alimtaka wakala huyo aombe radhi kwa kauli zake alizozitoa kwenye media.

yaya-toure-pep-guardiola             Yaya Toure na kocha wake Pep Gurdiola wakisabahiana uwanjani.

Yaya Toure aliungana na klabu ya Manchester City mwaka 2010 akitokea klabu ya Barcelona ambayo kwa wakati huo ilikuwa chini ya kocha Pep Guardiola baada ya kocha huyo kutokupendezwa nae na kuchukua uamzi wa kumuuza.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s