Davido Aongeza msanii wa Kike kwenye Lebo yake ya Davido Music Worldwide.

Baada ya msanii mrembo Lola Rae Kupata shavu kutoka kwa Davido kwenye wimbo wake wa Biko,Bahati ya mtende bado imeendelea kumuangua Mrembo huyo kwani leo superstar huyo aliyetamba na ngoma kama Skelewu,Aye na ngoma nyingine kali  mapema asubuhi ameposti kwenye ukurasa wake wa Instagram Picha yake na kuandikia maneno “LOLA RAE WELCOME TO DMW!!! 1ST LADY !!!” Akiashiria kumkaribisha kwenye familia hiyo ambayo mpaka sasa inawanafamilia watatu tu na akiwa ni Mwanamke wa kwanza kwenye lebo yake ya Davido Music Worldwide #DMW.

whatsapp-image-2016-11-05-at-19-56-42

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s