“Nisihusishwe na Kuvunjika kwa Jahazi Modern Taarab”- Saidi Fella

Baada ya kuvunjika kwa Band ya Jahazi Modern Taarab ambayo iliyokuwa inamilikiwa na Mzee Yusuph , Meneja wa kundi la Yamoto Band, Said Fella amefunguka na kusema yeye si sababu ya kuvunjika kwa Band hiyo kwani wasanii wa kutoka Band hiyo na wengine kutoka sehemu mbalimbali wamekuwa wakija kuomba nafasi kwenye band yake mpya ili waweze kupata kidogo kitu cha kuwasaidia maisha kusonga mbele ikiwa pamoja na kupeleka watoto wao shule hivyo sihusiki moja kwa moja na kuhama kwao hata hivyo naamini Jahazi haiwezi kufa kwani ni Band kubwa.

felat

Saidi Fela amefunguka hayo yote kwenye kipindi cha eNEWS Kinachorushwa na EATV  na kusema “Mimi sijaivunja JAHAZI wale wamekuja na mimi nikasema sawa twendeni sababu mwisho wa siku wenyewe wanasema sisi tunapiga magitaa watoto wetu wasome na sisi tupate maisha, kwa hiyo la msingi na wewe unaweza kupata muda ukawatafuta wakina Mauji, Chid Boy, Bobu Ally, na wengine ukawauliza mbona mmefanya hivi wao watawambieni maana hayo ya kwako wao. Ila mimi najua Jahazi litaendelea kuwepo sababu ile ni Band kubwa na hawa kama wameamua kwenda kujitafutia basi sawa”

CHANZO:DIZZIMONLINE.COM

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s