Rapa Fid Q anawaalika kutazama Video yake mpya ya wimbo wake wa Sumu.cc @FidQ

Taarifa ikufikie wewe mdau wa Hip Hop Rapa maarufu Nchini Tanzania Fid Q ameachia video ya wimbo wake wa Sumu ambao alitanguliza kwanza kutoa Audio , Ikiwa huu ni mfululizo wake wa kutoa hit baada ya hit kwani baada ya kutoa Walk it off , na Roho aliomshirikisha Christian Bella.Sasa kaachia video ya Sumu itazama hapa chini.

 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s