Video:Rayvanny,Roma mkatoliki na Stamina Wafunika Fiesta Dar.

Msanii kutoka WCB-Wasafi Raymond (Rayvanny) jana alifanya kitu ambacho hakitaweza kusahaulika kwenye macho na masikioni mwa wapenda burudani ya muziki wa bongo fleva hapa Tanzania kwani mbali na kuwavutia watazamaji tu bali hata wasanii wa muziki hapa Nchini kama Rapa Wakazi nae alinogewa na kile kilichooneshwa na kijana huyo kutoka WCB na kutweet kwenye ukurasa wake wa Twitter na kuandika “Raymond what a talent…i say this daily i dont have to add a thing to it . #TheFuture“.

Rayvanny kuonesha kuwa sio mtu wa mchezo mchezo alitumbuiza goma zake zote kali kama Kwetu na Natafuta kiki lakini alikuja kuumaliza umma alipo perform wimbo wa Salome aliomba kwa kushirikiana na Boss wake Diamond Platnumz ambaye yeye wiki nzima hii yupo Nchini Nigeria kwa Ajili ya Sherehe za ugawaji wa tuzo za AFRIMA zinazofanyika usiku leo pale jijini Lagos.Lakini hata hivyo aliimba na umma mwanzo mwisho kama kawaida yake na kuna vitu vingi sana Rayvanny ameonesha kwa mwaka huu kikubwa ni kwamba hata kama ukiwa na Kipaji  bado unahitajika kujituma zaidi kwani kipaji bila bidii Hupotea.Tazama video yake hapa chini akitumbuiza jukwaani jana usiku

 

Mbali na Rayvanny wasanii wengine waliofanya vizuri kwenye Tamamsha hilo kubwa kabisa nchini Ni Stamina na Roma Mkatoliki ambao hao walipanda na kuperform wimbo wa Machizi mmeniroga,Lakini pia wapo wengine kama Snura,Mr Blue,Christianbella ,Belle9 ,Weusi,Tekno na Yemi Alade.

Kwa Habari  za Michezo na Burudani Nifollow hapa Instagram na Twitter

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s