Kajala na Chuchu Hans uso kwa uso,Tuzo za EATV.

Wasanii maarufu kunako Tasnia ya filamu nchini Bongo Movie Frida Kajala Masanja maarufu kama Kajala na mwenzake Chuchu Hans watachuana uso kwa uso kwenye tuzo za East Africa Televion Awards 2016.Waigizaji hao wawili watachuana kwa kazi zao za Filamu ya Hii ni Laana ya Kajala na Ile filamu ya Laura ya mrembo Chuchu Hans,Kwenye kipengele cha Muigizaji Bora wa kike.

 chuchu-276x300

kwenye kipengele hicho cha Msanii Bora wa Kike wapo pia Recho Bitulo Njingo kupitia Filamu yake ya Nimekosea wapi?,yupo pia Hadja Ally na Filamu yake ya 3 Days ,na ndiye aliyekamilisha kipengele hicho.

Tuzo hizo zinazoandaliwa na kituo cha Runinga cha EATV mpaka sasa kimetangaza vipengele vinne tu kati ya vipengele kumi ambavyo vitashindaniwa na wasanii mbalimbali,Vipengele hivyo ni Filamu Bora ya mwaka,Muigizaji bora wa kiume wa mwaka,Muigizaji bora wa kike wa mwaka na Mwanamuziki bora Chipukizi wa mwaka.Hata hivyo vipengele vya Tuzo hizo bado vinatangazwa kupitia vituo vya EATV na East Africa Radio na kilele chake ni Tarehe 10 Disemba 2016 pale mliman City Hall.

CHANZO:DIZZIMONLINE.COM

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s