Utaupenda Utani wa Masanja Kwa Beyonce na Jay-Z,Baada ya ushindi wa Donald Trump.

Hakuna mtu asiye mjua Masanja Mkandamizaji kwa vituko vyake vya kuchekesha hususani kwenye mitandao ya kijamii,Sasa leo mapema baada ya Ushindi wa Donald Trump dhidi ya Bi.Hillary Clinton Mchekeshaji huyo kutoka kwenye kundi la Ze Comedy aliweka picha kwenye ukurasa wake wa Instagram unaotumia jina la Mkandamizaji iliyokuwa imeambatanishwa na caption iliyosomeka “Imebidi warudi home tu.Rombo,Tarakea,Moshi moja hii.Dah!Trampu!

jay                                                                                            Unaambiwa hawa ndiyo Beyonce na Jay-Z

Matokeo ya Urais nchini Marekani tayari yameshatangazwa na Bilionea Donald Trump kupitia tiketi ya Republican ameibuka kidedea dhidi ya Bi.Hillary Clinton wa chama cha Democratic maelezo zaidi ingia hapa

Donald Trump amshinda Hillary Clinton uchaguzi wa Urais nchini Marekani

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s