Huu ndio ushauri wa Ali Kiba kwa wasanii wa singeli

Msanii wa Bongo Fleva Ali kiba Jana alikuwa anajibu maswali aliyoulizwa na mashabiki wake kwenye mtandao wa Twitter,na moja ya maswali hayo aliyo ulizwa ni Nini msimamo wako kuhusu Muziki wa singeli kuua Bongo fleva?Ali kiba alianza kwa kukataa kwa kusema sio kweli muziki wa Singeli hauwezi kuua muziki wa Bongo fleva,na akaenda mbali zaidi kwa kutoa ushauri kwa wasanii wa singeli kutumia lugha nzuri na yenye staha kwani muziki wao umetokea kupendwa na watu wakubwa.

kibbsdff

Hakuishia hapo aliendelea kujibu swali hilo kwa kusema “Mamayangu mimi anapenda sana muziki na katika muziki anaoupenda Singeli pia anaupenda ,lakini kuna lugha ambazo zinatumika kwenye singeli mama yangu hawezi kutumia ,singeli ili muziki wao uweze kukua zaidi kwani unapendwa sana”

Unaweza ukatizama video nzima hapa chini kuona na Maswali mengine aliyojibu Ali Kiba.

Shukrani za dhati ni kwa Muandaaji na Mtayarishaji wa kipindi cha Papo kwa papo na Papi.

CHANZO : DIZZIMONLINE.COM

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s