Sababu za Young Killer kutoweka Video kwenye Youtube Chanel yake

Msanii wa hip hop Bongo  Young Killer ambae hivi karibuni amefanya Wimbo na Harmonize  ametoa sababu ya kutoweka Wimbo huo katika Youtube Chanel yake

young k.jpg

Rapper huyo kutoka Rocky City Mwanza ameeleza kuwa anamwaka wa tano katika kufanya kazi ya music na hajawahi kunufaika na youtube

“ Kiukweri mimi kwenye music ninamwaka wa tano Napata mashabiki mbali mbali wa nchi tofauti tofauti lakini kiukweli ukizungumzia youtube imekuwa sehemu ya kuingizia watu hela kwa kiasi kikubwa sana lakini mimi binafsi sijawahi kunufaika chochote kupitia youtube” ameiambia XXL cha Clouds FM hata hivyo Young Killer ameongeza kwa kusema .

“Nimeanza kupiga hesabu hii ni video kubwa ambayo imetengenezwa kwa gharama kubwa zaidi inahitaji angalau ipate chochote kile watu wa enjoy kwa kile ambacho wamekifanya kwasababu ni kazi chanel yangu sijawahi kupata hela yoyote nimejikuta nawanufaisha watu tunaweka kwenye chanel yangu hamna kinacho endelea so imekaa kwenye chanel ya Harmonize kwasababu imesajiliwa na inaingiza hela”

video ya wimbo huo ililipiwa na uongozi wa Wasafi, na waliridhia video hiyo ikafanyike nchini Afrika Kusini.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s