Kuna ngoma za Godzilla Naweza kuzifanyia Remex – Bill Nass

Rapper wa Bongo Flava Billnass ambaye watu wengi wanahisi amechukua nafasi ya rapper Godzilla, amefunguka na kusema kuna baadhi ya ngoma za Godzilla anaweza kuzifanyia remix.

bilnass

“ Wimbo wa godzila ambao naweza kufanya remix rabda nyimbo mbili Nataka na Kingzilla, Nataka napenda sana ule mstari, Wakijifanya watoto wa mbwa sisi wenyewe mbona watoto wa paka” Alisema Bilnass kwenye XXL ya CLOUDS FM.

Vile vile aliongeza kwa kusema King zilla ni Wimbo ambao Godzilla alijinadi vizuri na ninyimbo yenye mdundo Mkali.

“Kingzilla ni wimbo ambao unamstari unasema, Wanaombea hata nipate supplementary kwa mtu ambae kama mimi nimepitia chuo najua namna gani watu walikuwa wanatamani nipate supplementary navitu kama hivyo”

Billnass kwa sasa yupo nchini Kenya kwenye msimu wa Coke studio na ni mara yake ya kwanza kushiriki toka aanze kufanya kazi zake za music.

By Wilson Chigolo

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s