About Me

 

mgallah

 Chief Editor

Godfrey Mgallah McDanniel better known as Mgallah He is a Co-Founder and Chief Editor at DizzimOnline .He is a Journalist Broadcast professionally who is always writing about Technology,Sports,Politics,Healthy,Business and Economic News in English and Swahili Language.He is a former Online News Editor at WAZA AFRICA back in 2014,and apart from writing Online Newspaper also he is good on Electronic Media where up to date he is at Radio Maria Tanzania As a News Anchor.

He is always tend to use a power of Social Network to change a society into a positive total way of life by Educating people to use properly for a benefit of the society.Read more about him by clicking his Biography and also you can follow him on his Social Networks Acounts.

Twitter I Facebook I Instagram I LinkedIn

PERSONAL PROFILE

Godfrey Mgallah McDanniel Maarufu kama Mgallah alizaliwa mnamo tar 01 january 1990 mkoani Arusha,kwenye familia ya mzee McDanniel Mgallah na Suzana Kisongela, kitaaluma huyu ni mwandishi wa Habari na mtangazaji wa Tv na Radio taaluma ambayo ameipata katika chuo cha uandishi wa uandishi wa habari mkoani Morogoro Morogoro School of Journalism na Baadae SAUT.Baba wa mzazi huyu ni mpare na mama yake ni Mkaguru wa Gairo mkoani Morogoro na kwa elimu yake ya msingi ameipata shule ya msingi kilakala na kumaliza darasa la saba Shule Msingi Mtumbatu ,Gairo.Na Elimu ya Sekondari ameipata huko Songea Kwenye Shule ya wavulana ya Songea 2005-2008 na kumalizia masomo yake ya advance mafinga mkoani Iringa Mwaka 2011 katika shule ya JJ MUNGAI .Upande wa mama yake tayari amefariki na kwa kiufupi ameekaa na mama yake kwa miaka zaidi ya 18 bila kumfahamu baba yake.Wadhifu wake ameshawahi kufanya kazi Radio ABOOD fm ya Morogoro kama volunteer mwaka 2014,na RADIO 5 Arusha kama Ripota na Baadae akapata nafasi ya Kuwa Online Editor kwenye Website ya WAZA AFRICA na Mpaka sasa Anafanya kazi Radio Maria Tanzania  kama Mtangazaji na Muandaaji wa Habari Mtandaoni.Hiyo ndio historia fupi ya kijana mwenye mvuto wa sauti na sauti yenye madalaka awapo studio.Pia kwa sasa anafanya kazi ya kuandika kwenye mtandao wa DizzimOnline Kama Mhariri Mkuu.Ni Muanzilishi wa kampuni ya MG MEDIA GROUP & COMPANY Ltd. Kampuni Mama wa Gazeti la mtandaoni la MGALLAH ONLINE ,Gazeti ambalo linatoa habari zake kila kukicha.Unaweza Ukamtafuta kwenye mitandao ya kijamii kwa ku’like Facebook  kum’Follow  Instagram na Twitter .

Advertisements