Tundu Lissu aitwa Polisi kwa mahojiano juu ya sakata la Ben Saanane

Mwanasheria wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),Tundu Lissu ameitwa na Jeshi la polisi Dar es Salaam, kwaajili ya mahojiano kuhusu taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari hivi karibuni kuhusu Ben Saanane ambaye ni msaidizi wa mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe.   Wakili Peter Kibatala ambaye ni Mkurugenzi wa idara ya sheria Chadema,…… Continue reading Tundu Lissu aitwa Polisi kwa mahojiano juu ya sakata la Ben Saanane

Serikali yawashauri wasanii kurasimisha kazi zao

Serikali imetoa wito kwa wasanii nchini kurasimisha kazi zao ili kuweza kutambulika, kupata haki zao na kuongezea pato lao na la taifa. Wito umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura wakati wa Mkutano na waandishi wa habari ulikuwa unahusu ubunifu wa vipaji na jinsi…… Continue reading Serikali yawashauri wasanii kurasimisha kazi zao

Mmiliki wa Jamii Forums asomewa mashikata matatu,arudishwa rumande

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, kampuni inayomiliki mtandao maarufu, Jamii Forums, Maxence Melo ameshtakiwa kwa Makosa 3 likiwemo la kuendesha na kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa hapa nchini kinyume cha sheria. Shitaka lingine ni kuzuia Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi chini ya kifungu cha 22 cha Sheria ya Makosa ya Kimtandao pamoja na kusajili tovuti ya…… Continue reading Mmiliki wa Jamii Forums asomewa mashikata matatu,arudishwa rumande

Mzazi Willy M. Tuva Refutes Death Rumor, Says “I am Hale, Hearty and Alive”

East Africa’s finest Radio & TV Personality MZAZI WILLY M. TUVA nowadays referred as KING MZAZI has debunked reports claiming he’s dead. Kenyans woke up to reports on social media  today that the MSETO CEO was among those who perished last night in Naivasha Tragedy. We contacted him minutes after the story was run by…… Continue reading Mzazi Willy M. Tuva Refutes Death Rumor, Says “I am Hale, Hearty and Alive”

Where am I going to get a human skull? (From Bob Dylan’s Nobel Prize speech) — Biblioklept

I was out on the road when I received this surprising news, and it took me more than a few minutes to properly process it. I began to think about William Shakespeare, the great literary figure. I would reckon he thought of himself as a dramatist. The thought that he was writing literature couldn’t have […]…… Continue reading Where am I going to get a human skull? (From Bob Dylan’s Nobel Prize speech) — Biblioklept

Mzee aliyeweka tangazo la kutafuta mke afunguka sababu Iliyomshawishi Kuweka Tangazo Hilo.

Mzee Athumani Bakari Mchambwa (76) aliyeweka tangazo la kutafuta mke maeneo ya Mtoni Mtongani, Dar es Salaam amefunguka sababi ya kufanya hivyo.   Mzee Mchambwa ameiambia Global TV kuwa ameamua kufanya hivyo ili mwanamke yeyote atakayekuwa tayari kuolewa naye atambue mapema vigezo na masharti anayotakiwa kufanya na atakuwa anayatambua majukumu yake mapema kwani hata siku…… Continue reading Mzee aliyeweka tangazo la kutafuta mke afunguka sababu Iliyomshawishi Kuweka Tangazo Hilo.

Saida Karoli Kutemana na meneja wake kulimfanya Akose Muelekeo k muziki.

Msanii mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli amefunguka kwa kusema kuwa moja ya sababu ambayo ilimfanya apotee kwenye muziki ni kitendo cha kuachana na meneja wake. Muimbaji huyo ambaye aliachana na meneja wake toka 2007, amedai kitendo hicho kilimfanya ashindwe kujisimamia na kumfanya ashuke kwenye muziki. “Baada ya kuachana na meneja wangu sikuweza kujisimamia…… Continue reading Saida Karoli Kutemana na meneja wake kulimfanya Akose Muelekeo k muziki.